Skip to main content

MSD Front

MSD hununua kutoka kwa wazalishaji tofauti, wafanyabiashara walioidhinishwa, na wasambazaji

MSD Huhifadhi bidhaa zake za afya na bidhaa za afya za wadau

MSD inasambaza bidhaa za afya kwa wateja na wadau

MSD imeanzisha viwanda vyake vya uzalishaji

Tumejitolea Kuokoa Maisha

Kituo cha Wateja

Katalogi ya Bei

Mkataba wa Huduma kwa Mteja

Mpango Mkakati wa Muda wa Kati

Tovuti ya Wateja wa MSD

Sheria ya Uanzishwaji wa MSD

About

MSD ilianzishwa kwa madhumuni ya uzalishaji, ununuzi, uhifadhi na usambazaji wa bidhaa za afya zilizoidhinishwa zinazohitajika kutumiwa na vituo vya afya. Katika kutekeleza dhamira hii, tunahakikisha kuwa bidhaa za afya nchini Tanzania zinapatikana, zinategemewa, na zinauzwa kwa bei nafuu lakini pia zinatolewa kwa wakati katika vituo vyote vya afya nchini Tanzania na kwingineko.

Featured Posts

Contact info

Dhamira yetu: Kufanya bidhaa bora za afya kufikiwa na vituo vyote vya afya vya umma nchini Tanzania.