Rais Samia Afunga Kazi Sekta ya Afya - Wilaya ya Mvomero
RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amefunga kazi Mvomero kwa serikali kukabidhi dawa na vifaa tiba vya zaidi ya sh. bilioni 1.61.
Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Judithi Nguli wakati Bohari ya Dawa (MSD), ilipokabidhi dawa na vifaa tiba vya zaidi ya sh. bilioni 1.61 kwa vituo vya afya na hospitali za wilaya hiyo.