Skip to main content
  • Mkurugenzi Mkuu MSD, Abainisha Mafanikio ya MSD Chini ya Awamu ya Sita

    DODOMA:

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw. Mavere Tukai leo tarehe 17/10/2022amekutana na waandishi wa habari Mkoani Dodoma na kutoamrejesho juu ya mafanikio ya Bohari ya Dawa (MSD) chini yaserikali ya awamu ya sita, inayoongozwaMhe. Samia Suluhu Hassan.

    Bw. Mavere amesema katika mwaka wa fedha 2022/23,MSD imee ndelea kufanya maboresho ya kiutendaji kamailivyoelekezwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku mabadiliko hayoyakilenga kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afyapamoja na utawala bora.

  • Tanzania Yapokea Msaada Kutoka Benki ya TDB

    DAR ES SALAAM: 

    Serikali ya Tanzania, imepokea msaada wa shilingi milioni 230 kutoka Benki ya Biashara na Maendeleo (TDB) kwa ajili ya kununulia vifaa vya kujikinga na kupambana na ugonjwa wa Uviko-19.

  • Wazalishaji Bidhaa za Afya Kutoka Jamhuri ya Ucheki, Waitembelea MSD

    Wajumbe wa chama cha viwanda vya kuzalisha bidhaa za afya kutoka Jamhuri ya Ucheki (Czech) ambao wako ziarani nchini Tanzania wametembelea Bohari ya Dawa (MSD) na kuelezea maeneo mbalimbali wanayoweza kushirikiana na Tanzania hasa upande wa bidhaa afya.

  • Dkt. Mollel Aishauri MSD Namna ya Kuboresha Upatikanaji wa Bidhaa za Afya Nchini.

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameishauri Bohari ya Dawa (MSD) kutengeneza mpango wa muda mrefu wa kuzungumza na wazalishaji dawa na bidhaa nyingine za afya kutoka nchi zinazozalisha bidhaa hizo, ili kuja kuwekeza nchini Tanzania, hatua ambayo itarahisisha upatikanaji wa bidhaa za afya nchini.

  • Serikali Ya Misri Yatoa Msaada wa Vifaa Tiba kwa Tanzania

    Ubalozi wa Misri nchini Tanzania, leo tarehe 8/9/2022, umetoa msaada vifaa tiba kwa Serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini.

    Vifaa hivyo vyenye thamani ya dola za Kimarekeni elfu 27 (USD 27,000), ambazo ni sawa na takribani shilingi milioni 62.9 za kitanzania, umekabidhiwa rasmi kwa serikali ya Tanzania.

About MSD

Medical Stores Department (MSD) was established by the Act of Parliament No.13 of 1993 as an autonomous department under the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children responsible for developing, maintaining and managing an efficient and cost effective system of procurement, storage and distribution of approved medicines and medical supplies required for use by all public health facilities.